Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anthony afunguka tuhuma za kumshambulia mpenzi wake

Antony 2 1.jpeg Anthony afunguka tuhuma za kumshambulia mpenzi wake

Sat, 9 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Manchester United, Antony Santos amefunguka juu ya tuhuma za kushambulia mpenzi wake wa zamani.

Winga wa Manchester United, Antony Santos amefunguka juu ya tuhuma za kushambulia mpenzi wake wa zamani. “Nilitaka kwenda kwake na kumwambia kuwa nilikuwa na majukumu na ilikuwa lazima niende, Yeye alichukua sahani na vikombe na kuvitupa chini, mimi nilimshika ili kumtuliza ila sikumdhuru.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live