Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ange Postecoglou mwamba sana huyu

Skysports Tottenham Ange Postecoglou 6179668 Kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs, Ange Postecoglou

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Tottenham Hotspurs, Ange Postecoglou ni meneja wa nne kwenye Ligi Kuu England, kushinda tuzo ya meneja bora wa mwezi kwa miezi mitatu mfululizo, baada ya Antonio Conte (3 - Octoba-Desemba 2016), Pep Guardiola (4 - Septemba -Desemba 2017) na Jurgen Klopp (3 - Novemba 2019-Januari 2020).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live