Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Andres Iniesta ashuka Daraja

Andres Iniets Relegated Andres Iniesta ashuka Daraja

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa timu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Uhispania Andres Iniesta ambaye ni mchezaji Emirates Club ya Falme za Kiarabu rasmi wameshuka daraja katikal igi ya hiyo.

Iniesta ameshuka daraja kwa mara ya kwanza tangu aanze kucheza Soka la kulipwa mwaka 2003 katika klabu ya Barcelona. Timu hiyo ilikuwa na msimu mbaya wakiambulia alama 17 pekee katika michezo 25 waliyocheza.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 40 alisajiliwa na Emirates Clubu akitokea timu ya Vissel Kobe ya nchini Japan aliyojiunga baada ya kuachana na Barcelona ya nchini Hispania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live