Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Andreas Christensen atambulishwa Barcelona

Andreas Christensen 1.jpeg Andreas Christensen

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kati Andrea Christensen ametambulishwa rasmi katika klabu ya mpya ya Barcelona baada ya kusaini mkataba wa miaka Minne.

Beki wa kati Andrea Christensen ametambulishwa rasmi katika klabu ya mpya ya Barcelona baada ya kusaini mkataba wa miaka Minne. Christensen amejiunga na Barcelona kama mchezaji baada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live