Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Andre Onana: Tuko vizuri hatuna ugomvi na Maguire

Onana Maguire Sportstiger 1690799919303 Original Onana: Tuko vizuri hatuna ugomvi na Maguire

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Andre Onana kumgombeza Maguire wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Borussia Dortmund, Onana amesema wako vizuri hawana tatizo ilikuwa sehemu ya mchezo

"Hatupaswi kuogopa kufanya makosa kwa sababu hii ni sehemu ya maisha na tunajifunza kutokana na makosa.

"Kwa hiyo inabidi tujikosoe sana sisi wenyewe, ikiwa tunataka kushinda makombe lazima tudai mengi. Kwangu ni heshima kubwa kuwa hapa na nina furaha sana kufanya kazi na watu hawa, Harry ni mtu bora na mchezaji mzuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live