Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Andre Ayew atua Nottingham Forest

Andre Ayew Hj Andre Ayew atua Nottingham Forest

Sat, 4 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Nottingham Forest imemsajili nahodha wa timu ya taifa Ghana, Andre Morgan Rami Ayew (Dede Ayew) kwa mkataba wa miezi 6 kutoka klabu ya Al Sadd SC ya Qatar.

Dede Ayew (33) anatua klabuni hapo baada ya kuachana na miamba hiyo ya Jiji la Doha, Qatar.

 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live