Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ancelotti kwenda jela miaka mitano

Kocha Mkongwe Carlo Ancelotti Awakosoa Makocha Kizazi Kipya Carlo Ancelotti, Kocha wa Real Madrid

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkoa wa Madrid imeomba Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ahukumiwe kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la ukwepaji wa kodi.

Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkoa wa Madrid imeomba Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ahukumiwe kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la ukwepaji wa kodi. Muitaliano huyo anadaiwa kukwepa kodi ya kiasi cha €1m (Tshs Bilioni 2.7) kati ya 2014 na 2015 akiwa kwenye awamu ya kwanza kama kocha wa klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live