Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ancelotti ajengewe sanamu lake

Ancelotti X Bayern Ancelotti ajengewe sanamu lake

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu yenye wafuasi wengi zaidi Duniani kwenye social media, timu yenye makombe mengi zaidi Duniani na miongoni mwa timu tajiri zaidi Duniani, Real Madrid wametwaa Ubingwa wa UEFA Champions League kwa mara ya kumi na tano (15).

◉ 15 - Real Madrid

◉ 07 - AC Milan

◉ 06 - Bayern Munich

◉ 05 - FC Barcelona

◉ 04 - Ajax FC.

Carlo Ancelotti amekuwa kocha wa (1) Ulaya kutwaa Ubingwa wa UEFA Champions League mara (5) kwenye historia.

2003 - AC Milan

2007 - AC Milan

2014 - Real Madrid

2022 - Real Madrid

2024 - Real Madrid

Kumbuka, Don Carlo ndiye kocha pekee kwenye historia aliyetwaa Ubingwa wa ligi kuu katika ligi zote (5) bora Barani Ulaya.

Carlo Ancelotti mpaka sasa ametwaa Ubingwa wa European Cup / Champions League sawa na klabu ya FC Barcelonaa.

Toni Kroos ametoa assist katika mechi yake ya mwisho Legend.

Full — Dortmund 0 - 2 Real Madrid

⚽️ Carvajal — 74’

⚽️ Vinicius, assist ya Kroos — 83’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live