Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ancelotti: Nipo Madrid kushinda sio kuwapa nafasi wachezaji vijana

Kocha Mkongwe Carlo Ancelotti Awakosoa Makocha Kizazi Kipya Carlo Ancelotti, Kocha wa Real Madrid

Sun, 5 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti baada ya mchezo ametolea ufafanuzi kuhusu suala la kuwapa nafasi wachezaji vijana ili wapate nafasi ya kukua na kuisaidia klabu mbeleni yeye akiwa kama kocha mkuu wa klabu kwa sasa .

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti baada ya mchezo ametolea ufafanuzi kuhusu suala la kuwapa nafasi wachezaji vijana ili wapate nafasi ya kukua na kuisaidia klabu mbeleni yeye akiwa kama kocha mkuu wa klabu kwa sasa . “Mimi nimesaini kuifundisha Madrid ili ishinde na sio kuja kuwapa vijana dakika za kucheza”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live