Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anaswa akiiba jezi za Yanga GSM - Video

Mwizi Yanga Anaswa akiiba jezi za Yanga GSM - Video

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: ManaraTV

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana ambaye hajatambulika jina lake amenaswa na Camera za CCTV katika Maduka ya GSM, Mlimani City Jijini Dar es Salaam akijaribu kutaka kuiba jezi za Yanga SC.

Kijana huyo aliingia dukani hapo kama mteja, lakini baadae alijikuta akileta wizi huo wa kutaka kuiba jezi 11 za Yanga SC kabla ya kukamatwa na mfumo huo wa Kidigital ulioko dukani hapo.

View this post on Instagram

A post shared by Manara TV (@manaratv__)

Chanzo: ManaraTV