Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anasepa

Kyle Walker Anasepa Mlinzi wa Man City, Kyle Walker

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kyle Walker bado hajakata tamaa ya katika mpango wake wa kutaka kujiunga na Bayern Munich na mazingumzo kuhusu uhamisho wake bado yanaendelea kwa mujibu wa ripoti.

Kocha wa Bayern, Thomas Tuchel anataka huduma ya beki huyo wa kimataifa wa England kwa mujibu wa ripoti.

Ilielezwa Walker alichukizwa kuwekwa benchi na kocha wake Pep Guardiola kwenye fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya dhidi ya Inter Milan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live