Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amunike ateuliwa kuwa kocha mkuu wa Nigeria

Pic Amunike Data Emmanuel Amunike

Sun, 21 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Emmanuel Amunike ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Nigeria.

Amunike anakwenda kuchukua nafasi ya mkufunzi José Peseiro ambaye aling'oka kwenye kiti hicho baada ya kumalizika kwa michuano ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast.

Kabla ya kuwa kocha, aliwahi kukipiga katika timu za Barcelona, Zamalek na Sporting Lisbon na kuiwezesha timu ya taifa ya Nigeria U17 kubeba kombe la Dunia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live