Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amrouche anika kikosi cha Taifa Stars, Fei Toto ndani

FEI TOTO MS.jpeg Amrouche anika kikosi cha Taifa Stars, Fei Toto ndani

Mon, 13 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa timu ya taifa,"Taifa Stars", Adel Amrouche ametaja kikosi chake cha kwanza cha timu ya taifa kitakachoshuka dimbani kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2023, huku mchezaji Feisal Salum 'Fei Toto' akijumuishwa kwenye kikosi hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live