Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amrouche akoshwa na kiwango cha Tshabalala

Kocha Wa Stars Na Tshabalala Amrouche akoshwa na kiwango cha Tshabalala

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Adel Amrouche amesema amefurahishwa na kiwango cha baadhi ya nyota aliowaita kwenye kikosi chake akiwemo Mohamed Hussein 'Tshabalala'.

Kocha huyo ameyasema hayo mara baada ya kukamilika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Misri ambayo ilimalizika kwa Stars kufungwa 2-0.

"Nimefurahishwa na viwango vya baadhi ya wachezaji, nimependa ujio mpya wa Tshabalala na wachezaji wengine," alisema Amrouche.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live