Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amri Kiemba: Dabo alionekana hawezi kuvuka Christmas

Kiembaaaaaaa Amri Kiemba: Dabo alionekana hawezi kuvuka Christmas

Wed, 29 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi Amri Kiemba ameizungumzia Azam FC kama moja ya klabu zilizokuwa na uvumilivu mkubwa kwa msimu uliomalizika ,wakati ambao watu wengi waliamini kocha mkuu wa timu hiyo Yousuph Dabo angeachishwa kazi , viongozi walikuwa upande wa mwalimu na mwisho wa msimu imewalipa wamemaliza nafasi ya pili na wapo kwenye fainali ya FA.

Mchambuzi Amri Kiemba ameizungumzia Azam FC kama moja ya klabu zilizokuwa na uvumilivu mkubwa kwa msimu uliomalizika ,wakati ambao watu wengi waliamini kocha mkuu wa timu hiyo Yousuph Dabo angeachishwa kazi , viongozi walikuwa upande wa mwalimu na mwisho wa msimu imewalipa wamemaliza nafasi ya pili na wapo kwenye fainali ya FA. “Ukiwa unaogopa kukosea ndio unakosea zaidi,naupongeza uongozi wa Azam kwa sababu ilionekana Kocha ambaye hawezi kuvuka Christmas ni Dabo , lakini wamemvumilia mwalimu na kumpa anachohitaji”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live