Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amri Kiemba: Azam wanaogopa kubomoa timu yao Simba SC

Simba Imedumaa, Haipigi Hatua   Amri Kiemba Amri Kiemba

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Clouds Media, Amri Kiemba amesema kuwa Klabu ya Azam inahofia kuibomoa ngome ya Simba kwa kuchukua wachezaji wao kutokana na ukaribu wao.

Kiemba amesema hayo baada ya Azam kudaiwa kuwa wanataka kusajili baadhi ya wachezaji kutoka Simba wakati wa dirisha kubwa la usajili msimu unaokuja.

"Azam FC akitaka waachezaji anachukua Young Africans Sports Club, Simba yeye anaachukua Azam na Yanga. Sijawahi kuona Azam akichukua mchezaji Simba SC Tanzania sio kwamba hawezi ila hataki kubomoa makao makuu yake," amesema Kiemba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live