Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amrabat apewa Jezi namba 4 Man United

Amrabat Jersey Number 4 Sofyan Amrabat

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sofyan Amrabat rasmi ndani ya uzi wa Manchester United ambapo amekabidhiwa jezi namba 4.

Amrabat amejiunga na miamba hao wa Old Trafford akitokea klabu ya Fiorentina ya Italia, ambapo atakipiga klabuni hapo kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu ambapo wataweza kumnunua moja kwa moja.

Je, unadhani atakwenda kuimarisha safu ya Kiungo ya Man United? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live