Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amrabat: Nacheza namba yoyote hata Golikipa

Amrabat Debut.jpeg Amrabat: Nacheza namba yoyote hata Golikipa

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Mchezaji wa Manchester United, Sofyan Amrabat jana alicheza beki wa kushoto kwenye mechi ya Carabao Cup dhidi ya Crystal Palace waliyoibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Katika mahojiano Amrabat alisema; "Nacheza popote utakapotaka au timu inapohitaji nicheze, hata ikiwa golikipa,"

Manchester United ilifuzu kucheza hatua ya nne ya michuano hiyo kwa ushindi huo mnono walioupata, matokeo mengine yalikuwa hivi Bradford City 2-0 Middlesbrough, Mansfield 2-2 Peterborough (penalti 3-1), Ipswich Town 3-1 wolves, Exeter City 1-0 Luton Town na Salford City 0-4 Burnley.

Chanzo: Mwanaspoti