Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amani Stadium kama Ulaya

AMAAN STADIUM DS Amani Stadium kama Ulaya

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Picha za muonekano wa Uwanja wa soka, Amani Stadium ulioko Visiwani Zanzibar zimeonekana kuvutia watu baada ya kukamilika kwa matengenezo yake.

Muonekano wake unamaanisha uwanja huo umemalizika na uko tayari kwa ajili ya matumizi na ulifungwa kwa muda umeonekana kuwa tofauti baada ya matengenezo hayo.

Muonekano huo umekifanya kiwanja hicho kifanane na baadhi ya viwanja vya kimataifa barani Ulaya.

Uwanja huo utaanza kutumika katika Mashindano ya Mapinduzi Cup yanayotarajiwa kuanza kutumia vumbi wiki ijayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live