Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alonso na maajabu yake Leverkusen

FBL GER CUP KAISERSLAUTERN LEVERKUSEN 260524n01 1716709461 Alonso na maajabu yake Leverkusen

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bayer 04 Leverkusen imebeba ubingwa wa Kombe la DFB POKAL mara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya FC Kaiserslautern kwenye Mchezo wa Fainali.

Kwa Msimu huu Bayern Leverkusen chini ya Alonso imebeba

Ubingwa Bundesliga

Ubingwa DFB Pokal

Wamefika Fainali Kombe la Uropa na kupoteza mbele ya Atalanta.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live