Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alonso kuandika rekodi mpya Fainali ya Uropa Leo?

UGF3AQCNV5CUZHDK4TUFAYPVGY Alonso kuandika rekodi mpya Fainali ya Uropa Leo?

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya wiki iliyopita kutwaa Ubingwa wa ligi kuu Ujerumani (Bundesliga) bila kufungwa leo klabu ya Bayer Levekursen itashuka dimbani ikisaka taji lingine dhidi ya klabu ya Atlanta ya ligi kuu Italia kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la ligi Ulaya (Europa League).

Kama endapo Levekusen inayonolewa na kocha Xabi Alonso itashinda mchezo huo watakuwa wameweka rekodi ya kutwaa mataji mawili kitaifa na kimataifa bila kufungwa.

Mchezo huo utachezwa kwenye dimba la Aviva jijini Dublin nchini Ireland.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live