Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alonso kocha mpya Real Madrid

Alonso Wg Alonso kocha mpya Real Madrid

Tue, 26 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Real Madrid na Liverpool, Xabi Alonso atajiunga na klabu ya Real madrid msimu ujao kama kocha mkuu wa kikosi hicho.

Alonso amechaguliwa na Madrid ambao ni mabingwa mara nyingi barani Ulaya kuwa mrithi wa Carlo Ancelotti ambaye atatimka klabuni hapo.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 41 kwa sasa anakinoa kikosi cha Bayer Leverkursen ya Ujerumani.

Kabla ya kugeukia ukocha Alonso aliwahi kuvitumikia vilabu vya Real Sociedad, Eibar na Bayern Munich pamoja na Liverpool, Madrid.

Alonso aliwahi kuwa kocha mkuu wa kikosi cha Vijana cha Real Madrid ( Castilla) na Real Sociead za Hispania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live