Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alonso anaitaka Liverpool sio Bayern

Xabi Alonso .jpeg Kocha wa Bayern Liverkusen, Xabi Alonso

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa ripoti ya Santi Aouna, Klabu ya Liverpool wamefanya mazungumzo chanya na kocha Xabi Alonso kuhusu uwezekano wa kubeba mikoba ya Jurgen Klopp ambaye ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.

Kwa mujibu wa ripoti ya Santi Aouna, Klabu ya Liverpool wamefanya mazungumzo chanya na kocha Xabi Alonso kuhusu uwezekano wa kubeba mikoba ya Jurgen Klopp ambaye ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu. Licha ya kuwindwa na Bayern Munich, imeelezwa kuwa Alonso ana shauku zaidi ya kujiunga na miamba wa soka la England, Klabu ya Liverpool.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live