Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alonso aifikia rekodi tamu ya Bayern Bundasliga

Skysports Xabi Alonso Tottenham 6142530 Kocha wa Bayern Liverkusen, Xabi Alonso

Sun, 18 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bayer 04 Leverkusen imeifikia rekodi ya muda wote iliyowekwa na Bayern Munich kwa timu ya Ujerumani kucheza mechi nyingi bila kufungwa kwenye mashindano yote.

Bayer 04 Leverkusen imeifikia rekodi ya muda wote iliyowekwa na Bayern Munich kwa timu ya Ujerumani kucheza mechi nyingi bila kufungwa kwenye mashindano yote. Bayern iliweka rekodi hiyo kwa kucheza mechi 32 bila kufungwa na jana Februari 17 Xabi Alonso na vijana wake wamefikisha mechi 32 bila kufungwa wakifunga magoli 95 na kujikita kileleni mwa msimamo wa Bundasliga kwa tofauti ya alama 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live