Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alonso, Bayen Liverkusen waingia anga za Munich Bundasliga

Skysports Xabi Alonso Tottenham 6142530 Kocha wa Bayern Liverkusen, Xabi Alonso

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mnamo msimu wa 2015/16, kocha wa sasa wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso alikuwa kwenye kikosi cha Bayern Munich kilichoweka rekodi ya kukusanya pointi nyingi zaidi (31) kwenye mechi 11 za kwanza za msimu wa Bundesliga.

Msimu huu 2023/24 akiwa kama kocha wa Bayer Leverkusen, Xabi ameiongoza Leverkusen kufikia rekodi hiyo, mechi 11, alama 31.

Neno moja kwa Xabi Alonso

Chanzo: www.tanzaniaweb.live