Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Salim kumpisha Beno Kakolanya golini dhidi ya Wydad?

Kakolanya X Ally Salim Ally Salim kumpisha Beno Kakolanya golini dhidi ya Wydad?

Thu, 27 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa zinadai kuwa kesho kutakuwa na sapraizi kwenye lango la Simba katika mchezo dhidi ya Wydad nchini Morocco.

Kipa mzoefu ambaye hajadaka siku nyingi, Beno Kakolanya ataanza akichukua nafasi ya Ally Salim ambaye ameonyesha umahiri mkubwa kwenye siku za karibuni.

Kakolanya hakucheza mchezo wowote tangu kukosekana kwa Aishi Manula huku taarifa zisizo na uhakika zikidai yuko mbioni kuondoka Klabuni hapo kujiunga na Singida Big Stars.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live