Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe aweka wazi kinachomweka benchi Doumbia Yanga (+Video)

Ally X Doumbia Ally Kamwe aweka wazi kinachomsibu Doumbia Yanga (+Video)

Thu, 27 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

“Mamadou Doumbia hawezi kuja tu alafu tumtoe Mwamnyeto ake pembeni, performance yake kwenye mazoezi iko fit kabisa, challenge anazopitia Mamadou ni jinsi gani anaingia kwenye Timu kwa maana ya Chemistry yake na wenzake.

“Ukisajiliwa Yanga unakuja kwenye Squad yenye quality kubwa, unatakiwa upambane haraka uzoee mazingira ucheze kwenye kikosi cha kwanza, hauchezi by favor kwamba umetoka wapi.

“Doumbia Moja ya sababu inayomfanya ashindwe kuingia kwenye kikosi cha kwanza sio kuhusu uwezo wala fitness changamoto yake ni maelewano yake na wenzake (Communication) (language),” amesema

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live