Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe atema nyongo ushindi mwembamba wa Dodoma Jiji (+Video)

Kamwe Tena Ms.jpeg Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliani wa Yanga, Ally Kamwe atoa ya moyoni kuhusu tabia za wachezaji kupoteza muda ndani ya dakika 90 mechi ikiendelea ambapo amedai kuwa kama kuna uwezekano waamuzi wa mchezo wapewe semina ili kuzuia tabia hiyo.

Pia ametoa mtazamo wake kuhusu mshambuliaji Joseph Guede kiwango alichokionyesha dhidi ya Dodoma Jiji jana Februari 05, 2024 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika Kwa ushindi wa bao 1-0 na Dodoma Jiji katika uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: