Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe amtumia ujumbe Fei Toto

Ally Kamwe Documentary.jpeg Ally Kamwe amtumia ujumbe Fei Toto

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisa Habari Yanga, Ally kamwe amesema safari yote ya Zanzibar majibu kamili yatapatikana saa 5 asubuhi hii wananchi watapata Habari zote kwanini Yanga imekuja Zanzibar.

Ofisa Habari Yanga, Ally kamwe amesema safari yote ya Zanzibar majibu kamili yatapatikana saa 5 asubuhi hii wananchi watapata Habari zote kwanini Yanga imekuja Zanzibar. Ally kamwe amewapiga kijembe Azam FC kama wangempata Mchezaji kama Pacome wangemchukua na kupiga nae picha kwenye boti ya Azam FC baada ya kufanya hivyo kwa Feisal Salum 'Feitoto'

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: