Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe aitupia kijembe Simba, ataja ombi walilotuma Bodi ya Ligi (+Video)

Video Archive
Thu, 23 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tambo za Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwa Simba SC baada ya kuongeza gape la pointi na kufikia 8

Tambo za Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwa Simba SC baada ya kuongeza gape la pointi na kufikia 8 “Sisi hatutaki watu wengine wapewe lawama kwamba wameshindwa kuizuia Yanga, tumetuma maombi kwa bodi ya Ligi ikiwezekana, pointi 8 ni michezo mitatu hivyo tutwangwe na huyu bwana (Simba SC) mfululizo mechi tatu halafu aone ilivyo ngumu kukata pointi 8. Yeye ndio azikate kama ni rahisi, asije baadaye kusema timu zingine zilishindwa kutuzuia.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live