Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe afunguka ishu ya kupata mashabiki wachache Kimataifa

Ally Kamwe Kijembe Ally Kamwe afunguka ishu ya kupata mashabiki wachache Kimataifa

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Habari wa Yanga African, Ally Kamwe amesema wanafahamu kuwa watapata idadi ndogo ya mashabiki katika mchezo wao wa Jumapili Agosti 20,2023 pale Azam Complex lakini ipo pia faida ya uwanja huo.

Yanga wanatarajia kuanza hatua ya awali ya mchezo wa klabu Bingwa dhidi ya Asas ambapo michezo yote miwili itapigwa kwenye uwanja huo.

"Tutacheza Chamazi tunafahamu itakuwa ni idadi ndogo ya mashabiki lakini faida ni kwamba pale itakuwa ni full house na uwanja upo karibu na mashabiki hivyo itakuwa rahisi kutoa hamasa kwa wachezaji wetu," alisema Ally Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live