Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Safari yetu Mapinduzi Cup imeisha

Ally Kamwe 10 Goals Ally Kamwe.

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Habari wa Klabu Yanga, Ally Kamwe amefunguka baada ya timu hiyo kutolewa kwenye Michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2024.

Kamwe kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram amefunguka kuwa; “Alhamdulilah… Safari yetuu Mapinduzi Cup 2024 imeishia kwenye hatua ya Robo Fainali. In Shaa Allah Tutarudi Mwakani Tukiwa imara zaidi.”

Yanga imekubali kipigo cha magoli 3-1 dhidi ya APR FC hatua ya Robo Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live