Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Mpinzani wa Yanga ni Yanga wenyewe

Ally Kamwe Mpira Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakikwea pipa kuifuata Klabu ya Namungo kwa ajili ya mchezo wa Ligi siku ya Ijumaa Machi 8.

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema katika suala la ubingwa msimu huu kwao sio tatizo kwa kuwa anaeweza kuizuia Yanga isibebe Ubingwa msimu huu ni Yanga wenyewe.

Akizungumza Kamwe anasema;

"Msimu huu Yanga wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho.Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: