Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Kutofundisha muda mrefu haimaanishi kuwa ni Kocha mbovu

Zidane Garmondi Ally Kamwe: Kutofundisha muda mrefu haimaanishi kuwa ni Kocha mbovu

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati walio wengi wakihoji kutoona Timu aliyofundisha Kocha mpya wa Yanga Muargentina Miguel Ángel Gamondi.

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe ameeleza sababu hasa za kwa nini Kocha huyo anaonekana hajafundisha mpira kwa muda sasa,

“Zidane ana muda gani hajafundisha mpira ? Hiyo inamtambulisha kama kocha mbovu ?

“Kukaa bila kufundisha mpira kwa muda mrefu ikaamaanisha ni kocha mbovu.

“Haikuwa rahisi sisi kumshawishi Gamondi kurudi kwenye mpira, mtu yuko Argentina sasa hivi anasheherekea zake kombe la mpira,” Afisa Habari wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: