Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Kagera sio Kibonde, kuna timu tumezipiga bao 7 (+Video)

Mashabiki Wote Wa Yanga Tuchomekee Jumamosi   Ali Kamwe.jpeg Ally Kamwe

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jana Mei 8 kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Timu ngumu ya Kagera Sugar na kufanikiwa kuibuka na alama zote tatu katika harakati zao za kulinyemelea taji la Ligi Kuu ya NBC.

Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema Kagera ni moja ya timu ambazo zimewapa ushindani wa hali ya juu msimu huu.

Akizungumza Ally Kamwe anasema;

“Kagera Sugar msimu huu ametuchangia point 4 tu kwa hivyo Kagera sio timu kibonde zipo timu zimefungwa 7”

View this post on Instagram

A post shared by Maulid Kitenge (@maulidkitenge)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: