Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Ikifika Julai Mosi sura zetu zitakuwa za kazi (+Video)

Ally Kamwe Mpira Ally Kamwe

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja habari na mawasiliano wa Yanga Ali kamwe anawaambia wana Yanga kuwa, Ikifika julai mosi (01/07/2024) ndio siku ambayo sura zao zitabadilika na kuwa sura za kazi, Kazi zinaanzia kwenye maboresho ya kikosi walichonacho pia kuwatangazia mashabiki wa Yanga idadi ya wachezaji wanaosalia na wanaoondoka

Tazama Video;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live