Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Hatutaki vikao vya usiku kama wenzetu

Ally Kamwe Vikao Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakijiandaa kukabiliana na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly siku ya Jumamosi Desemba 2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Ofisa habari wa Klabu hiyo Ally Kamwe amesema ni vyema Mashabiki wakajitokeza kuipa timu hakasa kwa wingi ili kuhakikisha wanamalizana na Ahly hapa hapa nyumbani.

Akizungumza kamwe anasema;

Ukiona mtu anajadili mpira usiku wa manane ujue yamemfika hapa, sasa sisi Yanga SC hatuhitaji kufika huko, sisi Yanga ndio tuna mashabiki bora Afrika na tunaenda kuionyesha Afrika kuwa walikosea kuwapa wale Simba sisi tunaenda kuijaza Benjamin Mkapa, maana vitu vyote wamejifunza kwetu sisi Yanga sasa wanakuwaje bora zaidi yetu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: