Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Al Ahly wamevuruga hesabu zetu

Kamwe N0c.jpeg Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakipambana kuhakikisha wanafuzu hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wikiendi iliyopita katika Uwanja wa Mkapa walilazimishwa sre na Al Ahly na Afisa Habari wa Yanga ally Kamwe anakiri wazi kuwa sare hiyo ilivuruga mahesabu yao kwa kiasi kikubwa.

Akizungumza Ally Kamwe anasema;

"Hesabu zetu zimevurugika kidogo baada ya kutoka sare dhidi ya Al Ahly leo, tulitaka kufuzu robo fainali tukiwa na alama nyingi zaidi lakini tumepata sare sasa tunajiandaa kwa mchezo dhidi ya Medeama. Mechi itakuwa ni Disemba 9, 2023 na tunakwenda na nguvu kubwa tukapate matokeo mazuri, tukiweza kupata alama sita (6) kwa Medeama maana yake tutakuwa na alama saba (7 ) mechi dhidi ya Belouizdad hapa Benjamin Mkapa ndio itatupeleka robo fainali."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: