Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Allan Okello aachana na Paradou

Allan Okello.jpeg Allan Okello aachana na Paradou

Mon, 11 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Ushambuliaji kimataifa wa wa Uganda Allan Okello (23) amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na klabu yake ya Paradou ya Algeria baada ya makubaliano ya pande zote mbili kufikiwa,

Allan Okello aliitumikia klabu yake ya zamani ya KCCA kwa mkopo msimu mzima uliopita akitokea Paradou,

Allan Okello tayari amewaaga Wachezaji wenzake wa klab ya Paradou na kuwatakia kila la kheri kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live