Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyerusha chupa kwenye basi la Man U adakwa

Aliyerusha Chupa Kwenye Basi La Man U Adakwa Aliyerusha chupa kwenye basi la Man U adakwa

Thu, 1 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mwezi mmoja kupita shabiki aliyerusha chupa kwenye gari ya #ManchesterUnited kabla ya mchezo dhidi ya ‘klabu’ ya #Liverpool amekamatwa.

Kwa mujibu wa The Sun News inaelezwa kuwa mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 23 ambaye jina lake halijawekwa wazi alirusha chupa kwenye bus la ‘klabu’ hiyo na kusababisha kioo kuweka ufa.

Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa #Anfield ulimalizika kwa ‘timu’ zote mbili zikiwa hazijapata bao na kuandika sare ya 0-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live