Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyemvuta jezi Aziz Ki afutiwa kadi nyekundu

Lameck Lawi Lameck Lawi

Wed, 1 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Coastal Union, Lameck Lawi amefutiwa adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa na mwamuzi kwenye mchezo dhidi ya Yanga baada ya kuthibitika kuwa mwamuzi huyo wa kati pamoja na mwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo huo walishindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu.

Mchezo huo uliopigwa Jumamosi katika Dimba la Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam, Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, bao pekee lililofungwa na mshambuliaji Joseph Guede.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live