Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliou Cissé Kocha Bora wa Makundi AFCON

Aliou Cisse 1140x640 Aliou Cissé

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa timu ya Taifa ya Senegal Aliou Cissé amechaguliwa kuwa kocha bora wa hatua ya makundi ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) baada ya kuwaongoza ‘Simba hao wa Teranga’ kushinda mechi zote tatu za hatua ya makundi na kufuzu hatua ya 16 bora.

Kocha wa timu ya Taifa ya Senegal Aliou Cissé amechaguliwa kuwa kocha bora wa hatua ya makundi ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) baada ya kuwaongoza ‘Simba hao wa Teranga’ kushinda mechi zote tatu za hatua ya makundi na kufuzu hatua ya 16 bora. Michezo ya hatua ya 16 Bora itaanza Januari 27.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live