Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliewindwa na Singida kuibukia Tabora United

Manu Labota Bola Manus Bola

Sat, 13 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya ihefu ipo katika hatua za mwisho kukamilisha Usajili wa kiungo wa ushambuliaji raia wa Congo DR Manus Bola.

Hapo awali alihisishwa kujiunga na klabu ya Singida Fountain gate ila kutokana na katazo la kusajili kutoka FIFA sasa Winga huyo anakaribia kumalizana na Viongozi wa Ihefu.

Huenda kabla ya juma hili kuisha akatambulishwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live