Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alietemwa Timu ya Taifa kisa majeraha acheza klabuni

Umar Sadiq Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria Umar Sadiq

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria Umar Sadiq (26) aliondolewa kwenye orodha ya wachezaji watakaocheza AFCON siku tano zilizopita kwa sababu ya kupata majeraha

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria Umar Sadiq (26) aliondolewa kwenye orodha ya wachezaji watakaocheza AFCON siku tano zilizopita kwa sababu ya kupata majeraha Hata hivyo, jana usiku aliitumikia klabu yake ya Real Sociedad na kucheza dakika 18.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live