Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alieongoza Kundi CAF aburuza mkia Ligi Kuu

Mllumo Gallants Whhh Alieongoza Kundi CAF aburuza mkia Ligi Kuu

Wed, 5 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Washika mkia kwenye Ligi kuu ya soka Nchini Afrika Kusini Marumo Gallants FC ndio kinara wa Kundi A kwenye michuano ya kombea Shirikisho Afrika.

Naam! Klabu ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini imefuzu hatua ya Robo Fainali ya #CAFCC ikiwa ndio Kinara wa Kundi A mbele USM Alger, FC Lupopo na Akhdar FC ikiwa na alama 12.

Kwa upande wa Ligi kuu Afrika Kusini klabu hiyo inaburuza mkia ikiwa na alama 20 baada ya mechi ya mechi 23 zikiwa zimesalia mechi 7 pazia la Ligi kuu Nchini humo kufungwa.

Mamelodi Sundowns ndio Mabingwa wapya wa Ligi hiyo wakitwaa ubingwa kwa mara ya 6 mfululizo zikiwa zimesalia mechi 7.



Chanzo: www.tanzaniaweb.live