Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliehusishwa kutua Yanga, Simba atua Azam

Mtanzanianews 132073702 793627464562098 8447723233358972094 N 486x400 Aliehusishwa kutua Yanga, Simba atua Azam

Wed, 23 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Mshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo, Mpiana Mozinzi, amejiunga na Klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam, akitarajia kuasaini mkataba wa mwaka mmoja kesho.

Mozinzi alihusishwa kutua Yanga na Simba katika kipindi cha dirisha kubwa msimu huu, lakini dili hizo hazikufanikiwa.

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Zakaria Thabiti, amesema mchezaji huyo amewasili nchini leo mchana na atafanyiwa vipimo vya afya, akifanikiwa ataanza kuitumikia rasmi timu hiyo.

ZIMBABWE PAGUMU SIMBA SC WAJIPANGE “KUCHEZA BILA MASHABIKI HASARA KWA SIMBA SIO MWENYEJI PLATNUM”

Chanzo: millardayo.com