Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kiba amkunjia Vanillah Music

Kiba Vannilah Ali Kiba amkunjia Vanillah Music

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zimepita siku 6 tangu Last born wa Kings Music Records Spana (@vanillahmusic), kutubariki na wimbo wake “Never Mind” aliyomshirikisha Rapa Roma Mkatoliki ambao kwa sasa upo Trending namba 8 mjini YouTube.

Zimepita siku 6 tangu Last born wa Kings Music Records Spana (@vanillahmusic), kutubariki na wimbo wake “Never Mind” aliyomshirikisha Rapa Roma Mkatoliki ambao kwa sasa upo Trending namba 8 mjini YouTube. Mbali na mapokezi mazuri ya wimbo huo inashangaza kwa Mkurugenzi wa Crown Media Ali Saleh Kiba (@officialalikiba), kuukunjia wimbo huo kwa kutopost katika mitandao yake ya kijamii ikiwa ni jambo la msanii wake aliyechini ya lebo yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live