Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kamwe ampa mbinu msemaji wa Tabora kuifunga Simba

Kamwe Atamba Magoli Matatu Wakielekea Mali Ali Kamwe ampa mbinu msemaji wa Tabora kuifunga Simba

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ali Kamwe ampa mbinu Msemaji wa Tabora United, Christina Mwagala za kuibuka na ushindi dhidi ya Simba mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa Jumatatu Mei 06, 2024.

Mwagala amesema Simba hawana wanachotafuta zaidi ya kuangalia wasimalize nafasi ya tatu na anatafuta nafasi ya pili. Ameongeza kuwa, Tabora haiwezi kushuka daraja na wala 'play off' kwa sababu wamebaki na mechi sita, hivyo watapambana ili wabaki .

Ume enjoy pira asali, nyuki, mizinga, maziwa na pira utamu. Unakubaliana na maujanja ya Ali Kamwe kwa asilimia ngapi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live