Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kamwe: Okrah atacheza kama Victor Osimhen

Okrah X Victor Ali Kamwe: Okrah atacheza kama Victor Osimhen

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa kiungo wao mpya Augustine Okrah anaendelea na matatibu huku akiwa chini ya uangalizi wa madaktari ili kuhakikisha anarejea mapema uwanjani kuipambania timu yake lakini kuna uwezekano wa yeye kucheza akiwa amevaa "MASK" Kama Victor Osimhen wa Nigeria.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa kiungo wao mpya Augustine Okrah anaendelea na matatibu huku akiwa chini ya uangalizi wa madaktari ili kuhakikisha anarejea mapema uwanjani kuipambania timu yake lakini kuna uwezekano wa yeye kucheza akiwa amevaa "MASK" Kama Victor Osimhen wa Nigeria. ‘’Upo uwezekano mkubwa wa kiungo huyo kurejea akiwa katika muonekano tofauti wa kuvaa ‘Mask’ ’’amesema

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: