Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kamwe: Alichokiona Mamelodi ni Asilimia 30 tu ya uwezo wa Yanga

Ally Kamwe Mpira Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe

Tue, 2 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es Salaam alfajiri leo Aprili 02, 2024 kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya Mamelodi Sundowns. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Aprili 05, 2024 saa 3:00 usiku nchini humo.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ali Kamwe amesema kuwa walichokiona Mamelodi mechi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ni asilimia 30 tu ya uwezo wa Yanga, wasubiri msiba mkubwa siku ya ijumaa kwa sababu hawaendi kufanya utalii. Akisisitiza kuwa wanakwenda kuweka historia ya kucheza nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: